03:26
football, International Friendlies
Timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars imekubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa timu ya taifa ya Uganda #TheCranes katika mchezo wa kirafiki kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Tanzania, uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli ya Uganda yamefungwa na Ivan Asaba dakika ya 72 na Joseph Bright dakika ya 90.
2021-12-09
Y0k2Qh2GH8Q